Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a5c24c223c08726efe1a93d4abd229d3.jpeg
 
Kabisa Mkuu huyo mrembo ni moto wa kuotea mbali yuko vizuri sana. Halafu INSTA imewapa hawa warembo all over the World publicity kubwa sana na wengi wao wanapiga pesa nzuri sana tena ya kihalali.

Ila mkuu BAK twende mbele turudi nyuma hapa Afrika katika hawa wanawake ambao ni models na socialites kama Zari, Kate Peyton sijui sidhani kama kuna mtu anagonga kiwango cha Kefilwe Mabote wa South Africa. She's a phenom.......!
 
Ha hah

Ahsante Bro, kidogo uptwe hapa.
Nenda kwenye Instagram ya Kefilwe Mabote ndiyo utaelewa nini nasema, huyu mwanamama ni hatari sana: Kama unafuatilia fashion hapa Africa nadhani lazima utafahamu sehemu yake. Ninachompendea ni kwamba mbali na fashion huwezi mkuta kwenye vijiskendo skendo visivyo na kichwa wala miguu, anatunza sana jina lake.
 
Na elimu jamani inasaidia sana
Hahaha mkuu kweli, lakini daaah hawa wa kwetu wamezidi mzee. Hivi unajua unapokuwa celebrity ili uweze kufika juu ni lazima ulinde sana heshima ya jina lako. Leo hii Wema angeachana tabia za uswahili swahili, sidhani kama kuna Miss Tanzani alikuwa ana potential kama Wema. Angefanya makubwa sana hapa Tanzania na Afrika,
 
Kabisa Mkuu huyo mrembo ni moto wa kuotea mbali yuko vizuri sana. Halafu INSTA imewapa hawa warembo all over the World publicity kubwa sana na wengi wao wanapiga pesa nzuri sana tena ya kihalali.
Mzee huyu Kefilwe siyo wa mzaha, kwanza yeye mara nyingi ndiyo anawavalisha Celebrities na Socialites wa South Afrika na sehemu nyingine za Afrika. Ameingia mikataba na makampuni makubwa sana, lakini nimemfuatilia sana nikaja kugundua ana kile kitu ambacho Beyonce anacho "Analinda sana jina lake kwa nguvu zote" ndiyo maana amepata umaarufu hadi huko Paris na Venice. Hapa kwetu Instagram ya mtu inajaa matusi, umbea umbea na kiki za kijinga aaaah noma sana mzee!

NB: Inapeleka hadi modeling ionekane ni kazi ya kimalaya-malaya, kumbe ni ajira nzuri sana yenye utajiri mwingi.
 
Soon she’ll very popular all over the World not only for her looks but also her dedication and efforts on her work. Ni moto wa KUOTEA MBALI.

Nenda kwenye Instagram ya Kefilwe Mabote ndiyo utaelewa nini nasema, huyu mwanamama ni hatari sana: Kama unafuatilia fashion hapa Africa nadhani lazima utafahamu sehemu yake. Ninachompendea ni kwamba mbali na fashion huwezi mkuta kwenye vijiskendo skendo visivyo na kichwa wala miguu, anatunza sana jina lake.
 
Umeongea point kubwa sana Mkuu. Uswahili swahili ni tatizo kubwa sana la warembo wetu kuweza kuingia kwenye anga kubwa kama za akina Zari, Mabote na wengine. Wana potential kubwa sana ila uswahili pesa zikishakolea ni kikwazo kikubwa sana na wanaanguka sana kwa hili.

Hahaha mkuu kweli, lakini daaah hawa wa kwetu wamezidi mzee. Hivi unajua unapokuwa celebrity ili uweze kufika juu ni lazima ulinde sana heshima ya jina lako. Leo hii Wema angeachana tabia za uswahili swahili, sidhani kama kuna Miss Tanzani alikuwa ana potential kama Wema. Angefanya makubwa sana hapa Tanzania na Afrika,
 
Umeongea point kubwa sana Mkuu. Uswahili swahili ni tatizo kubwa sana la warembo wetu kuweza kuingia kwenye anga kubwa kama za akina Zari, Mabote na wengine. Wana potential kubwa sana ila uswahili pesa zikishakolea ni kikwazo kikubwa sana na wanaanguka sana kwa hili.
Halafu ukiwaaambia wanasema eti wewe mwanaume yanakuhusu nini ?? Yananihusu nini, hivi watu hawajui kwamba Fashion Industry inalipa sana ?? Yaani unakuta Celebrity kaka mtandaoni matusi, skendo na utimu timu tu.

Mkuu kama unakumbuka Iggy Azelea alivyokuwa juu sana mwaka 2013-2015 halafu ghafla akapotea. Alionywa sana na menejiment yake kwamba aache hizi drama na utoto utoto mitandaoni. Yeye kila tweet lazima ajibu, mara atukanane na Azalea Banks mara Britney Spears. Alikuja kuporomoka na anajaribu kurudi lakini nafasi yake kashika Cardi B, yeye apumzike tu kwao Australia.
 
Back
Top Bottom