Hahah! nadhani waliojazana kwenye list yako watakua watu wa chama cha kijani....
Aisee me sijawahi kufanya hilo tukio
Pole Sana mkuu, kumbe wadau walikua wanafika mbali kiasi hiyoNi hao hao Mkuu wasiojulikana wengine walikuwa wakija hata pm eti kunitisha!