Duh! Kuna raia kanichezeshea Ignore humu 😀
Hahah! nadhani waliojazana kwenye list yako watakua watu wa chama cha kijani....Hahahahaha lol! Nadhani ignore list yangu ni ndefu kuliko ya yeyote mwingine hapa jamvini. Ila hivi karibuni nimewaondoa wachache huko.
SanaaaaKumbe uzi powaa