Dada Vinci sijampata bwana.
Kuna mzenji wa kuitwa alibakari alisema atukutumia email au phone numberDada Vinci sijampata bwana.
Hahahhaa ankoo bana[emoji134][emoji134]ankoo... Una maanisha hicho "kichwa" kitaweza kusimama? Hayo macho yataona pa kupita ankoo?!!!
Na utundu wake woooote kasije kujiroga kaniombe kanibebe "mgongoni",vindulelee vyake vitapotelea kusiko julikana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na wewe umeanza sasa Unataka UVCCM wajae huku??Mwenge wa Uhuru ni Adui wa Mtanzania.
Ankoo nimeona maandiko una mzungumzia Pogba, anaondoka kweli? Kama ni kweli kwanini hakusikilizwa Jose ili kuutatua mgogoro kati yao?Hahahhaa ankoo bana