Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ankoo nimeona maandiko una mzungumzia Pogba, anaondoka kweli? Kama ni kweli kwanini hakusikilizwa Jose ili kuutatua mgogoro kati yao?
Si wajua jose alichokwa sasa kila akiongeacho ilionekana ni kisingizio tu cha kumtwisha matatizo mchezaji ili kukwepa kutimuliwa. Pogba sio tatizo tatizo ni wakala wake. Yule jamaa sio kabisa akiamua jambo kaamua. Hivyo wakala anamshawishi aondoke hapo Man u. Anaweza ondoka kweli
 
.
FB_IMG_1554044054247.jpeg
 
Mlevi wa pombe ni bora akizidiwa atalala na mara nyingi bila kuathiri maisha ya yeyote yule lakini si mlevi wa madaraka huyavuruga maisha ya millions na wengine anaweza hata kuwatia vilema vya maisha au kuchukua uhai wao.

mlevi wa pombe na mlevi wa madaraka wanapokutana.

kuishi maisha yako yote bila ya kuwa na maarifa ni sawa sawa na maisha ya mbuzi asiyekuwa na mkia. Hatoweza kuficha sehemu yake ya siri na wala hataweza kufukuza wadudu wanaoruka na kumkera kwenye sehemu zake za siri
 
Back
Top Bottom