Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1554044098722.jpeg
 
Messi amedaiwa kwamba amefurahi kuona kwamba hakunna mchezaji hata mmoja kati ya hao watano aliowataja atakutana nao kwenye hatua ijayo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwani ni Aguero tu na Manchester City yake ndiye timu yake imefanikiwa kutinga robo fainali
 
Anko siasa huwa nabip ndo maana leo utanikuta ccm,kesho cdm,kesho yake act ili mradi nichokoze watu

Tatizo sijuagi kuomba radhi daah pride za bwana jiwe hizi tumezirithi kwa pupa

Twa hivyo tutundu sana,chukua haka ka fish kakusaidie saidie hata sijui kasaidie nini[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1059375
[emoji134][emoji134]ankoo... Una maanisha hicho "kichwa" kitaweza kusimama? Hayo macho yataona pa kupita ankoo?!!!
Na utundu wake woooote kasije kujiroga kaniombe kanibebe "mgongoni",vindulelee vyake vitapotelea kusiko julikana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom