Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The great white...

79519365b8870968047d9574a083f4a3.jpeg
 
Ripoti zinadai kwamba kwenye mazungumzo hayo na mabosi wa Madrid, Raiola ameweka mambo wazi akisema kwamba mteja wake ameshafanya uamuzi wa kutaka kuachana na Man United na anakotaka kwenda ni huko Los Blancos.
 
Rais wa Real Madrid, Florentino Perez ameripotiwa kutenga Euro 105 milioni kwa ajili ya kumnasa mchezaji huyo kama ilivyokuwa kwenye makubaliano yale ya miaka mitatu iliyopita walipomwaania na kuzidiwa kete na Man United.
 
Back
Top Bottom