andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Niseme na nilisha kusifia kwa kuweka misingi ya kuheshimiana humu, ulikataza lugha ya matusi,uliweza kumdhibiti Allen kwa post zake mwanzo kabisa mwa uzi ukishirikiana na ISIS.Anko wewe muungwana sana. Mie fan wako nambari moja na wala sijaona tatizo lolote. Nimependa maelezo yote hadi nimekuonea wivu kuivumbua ID ya baba mkwe(R.I.P)japo sifahamu alitacha lini
Huyu mwana Jf mzee alitutoka 28feb