Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anafunga mabao muhimu, acha tu asonge mbele akajaribu kutafuta fedha ili akapunguze umasikini mtaani kwao Dakar
Staa huyo wa Senegal, Mane amefunga mabao 11 katika mechi 11 za mwisho alizochezea Liverpool na kuwapa nguvu kubwa kwenye mbio za kufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester City msimu huu.
 
a5fe2a83-c639-46b9-b705-93bbdb231a0b.jpeg
 
kitufe cha sad na angry havihusiki ndani ya thread hii tunakumbushana.
wale wanaoichukia hii thread lengo lao limeshafanikiwa kiupande fulani lakini tutashusha tanga na kupandisha tanga safari iendelee.
​

april fool muje ofisini mupokee gawio lenu
[emoji3070][emoji1664][emoji208][emoji1661][emoji247][emoji207][emoji231][emoji241][emoji243][emoji233][emoji251][emoji240][emoji3058][emoji893][emoji1639][emoji3053][emoji2247][emoji960][emoji3038][emoji3039][emoji3040][emoji458][emoji971][emoji2087][emoji2100][emoji592][emoji590][emoji589][emoji603][emoji599][emoji607][emoji587][emoji920][emoji913][emoji551][emoji923][emoji1278][emoji916][emoji918][emoji917]​
Safi sana mkuu
 
Kwema kijana wangu?

Uwe na amani ya kutosha, mimi sio wa hivyo,nimekuwa kwenye utani tangu utoto wangu maana nimekulia kwa bibi na wajomba zangu.
Chanzo cha kuzoea kutaniwa ni majina yangu na matumizi ya mashoto,mbaya zaidi naendelea kutaniwa hadi uzeeni ni vile muundo wa kichwa changu upo kama yule nani hii au hilo lisamaki [emoji3][emoji3][emoji3]

Hiyo komenti inayo ongelewa humu(ya mwaka jana mwishoni) haikuhusiana na utani wa fenesi, watu waliamua/waliielewa vibaya japo nikaitolea ufafanuzi. Wapo walio kuja PM, nikawafafanulia kinacho nisibu.Bila kuingiza utani humu huu uzi usingefika hapa wala watu tusingezoeana kiasi hiki.
Kiufupi mdogo wangu alitia guu na uwepo halisi, maandiko yake yalikuwa ya hovyo tofauti na muonekano wake, bro alipoguswa akaniangushia mimi... acha...

Sipendi matusi, napenda sana kucheka, nafurahia utani. Wiki mbili zilizopita ndio nimegundua nilikuwa kwenye utani na baba mkwe wangu (RIP) bila kutegemea, niligundua baada ya kuifungua simu yake na kukutana app ya Jf...
Mnisamehe sana wote nilio wakwaza kwa komenti ile japo ukiisoma vizuri mwandiko wake una matege fulani hivi...
Samahani sana SHIMBA YA BUYENZE maana wewe ndiye ulikuwa muathirika wa moja kwa moja maana niliku "kwotua" na pia Pyaar unisamehe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Anko wewe muungwana sana. Mie fan wako nambari moja na wala sijaona tatizo lolote. Nimependa maelezo yote hadi nimekuonea wivu kuivumbua ID ya baba mkwe(R.I.P)japo sifahamu alitacha lini
 
[emoji56][emoji56][emoji56]

View attachment 1059031
Kamalaika kazuri...

Marekebisho mapya ndiyo yanafanya picha zionekane mara mbili mbili ama? Nimeona pia picha za malkia wetu ziko mbili mbili. Sijui kama za kwangu hapo juu zimetoka mbilimbili. Kama ni hivyo itabidi warekebishe. I hope Mello is aware of this.
 
Back
Top Bottom