Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0878D1D2-0550-4C7D-8B3B-0645920536B2.jpeg
 
Mchezaji mwenzake wa zamani waliyewahi kucheza wote huko Southampton, Oriel Romeu alisema fowadi huyo wa Liverpool, Mane ana uwezo na kwenda atakwenda kuwa mtu muhimu kwenye kikosi cha Zinedine Zidane huko Bernabeu.
 
Staa huyo wa Senegal, Mane amefunga mabao 11 katika mechi 11 za mwisho alizochezea Liverpool na kuwapa nguvu kubwa kwenye mbio za kufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu England dhidi ya Manchester City msimu huu.
 
kitufe cha sad na angry havihusiki ndani ya thread hii tunakumbushana.
wale wanaoichukia hii thread lengo lao limeshafanikiwa kiupande fulani lakini tutashusha tanga na kupandisha tanga safari iendelee.
​

april fool muje ofisini mupokee gawio lenu
[emoji3070][emoji1664][emoji208][emoji1661][emoji247][emoji207][emoji231][emoji241][emoji243][emoji233][emoji251][emoji240][emoji3058][emoji893][emoji1639][emoji3053][emoji2247][emoji960][emoji3038][emoji3039][emoji3040][emoji458][emoji971][emoji2087][emoji2100][emoji592][emoji590][emoji589][emoji603][emoji599][emoji607][emoji587][emoji920][emoji913][emoji551][emoji923][emoji1278][emoji916][emoji918][emoji917]​
Sawa sawa mkuu
 
Mane kwa sasa amemfunika hadi Mohamed Salah huko kwenye kikosi cha Liverpool kutokana na kufunga mabao muhimu kwenye mechi za Ligi Kuu na Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo kikosi hicho kwa sasa kimeshatinga hatua ya robo fainali.
 
Kwani kuna habari gani! Huko kwenye Ligi Kuu England mambo ni moto na sasa Liverpool haina kitu kingine cha kukifanya zaidi ya kushinda tu leo Jumapili dhidi ya Tottenham Hotspur huko Anfield ili kurudi kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo.
 
Manchester City wamechafua hewa huko Anfield baada ya kuwachapa Fulham 2-0 na hivyo kurudi kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo kwa pointi moja zaidi ya Liverpool, ambao matokeo mengine yote tofauti watakapomkabili Harry Kane na Spurs yake basi watakuwa wamemwaachia rasmi Pep Guardiola usukani wa ligi hiyo. Liverpool na Man City sasa wote wamechezaji mechi sawa.
 
Back
Top Bottom