Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kitufe cha sad na angry havihusiki ndani ya thread hii tunakumbushana.
wale wanaoichukia hii thread lengo lao limeshafanikiwa kiupande fulani lakini tutashusha tanga na kupandisha tanga safari iendelee.
​

april fool muje ofisini mupokee gawio lenu
[emoji3070][emoji1664][emoji208][emoji1661][emoji247][emoji207][emoji231][emoji241][emoji243][emoji233][emoji251][emoji240][emoji3058][emoji893][emoji1639][emoji3053][emoji2247][emoji960][emoji3038][emoji3039][emoji3040][emoji458][emoji971][emoji2087][emoji2100][emoji592][emoji590][emoji589][emoji603][emoji599][emoji607][emoji587][emoji920][emoji913][emoji551][emoji923][emoji1278][emoji916][emoji918][emoji917]​
Kimetokea nini kwani mkuu?
 
Mabao ya kipindi cha kwanza kutoka kwa Bernardo Silva na Sergio Aguero yalitosha kuifanya Man City kushinda mechi yake muhimu inayowafanya kufikisha pointi 77 zinazowaweka kileleni kabisa kwenye mbio za kusaka ubingwa wa wa Ligi Kuu Englannd msimu huu baada ya ushindi wao mtamu wa ugenini huko Craven Cottage.
 
Liverpool wana nafasi ya kurudi kileleni, lakini kama tu watawachapa Spurs, ambao pia hawatakubali kuchapwa kirahisi kutokana na kukabiliwa na vita kali katika kuwania kuwamo kwenye Top Four inayotoa fursa ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
 
Lakini, pia Spurs waliwaacha Manchester United kwa pointi tatu, ambao jana Jumamosi waliwakabili Watford huko Old Trafford. Ushindi wowote wa Man United basi watakuwa wamewafikia Spurs kipointi na kufanya vita ya Top Four kuwa tamu zaidi.
 
C2779BA4-D8EB-4468-9C43-18EC3800D237.jpeg
 
Arsenal wao watasubiri hadi kesho Jumatatu kuwakabili Newcastle United, ambapo ushindi wowote kwa kikosi cha Unai Emery kitatibua tena msimamo wa ligi hiyo kwenye hiyo Top Four. Chelsea ni wapinzani wengine kwenye hiyo Top Four, ambapo leo watacheza na Cardiff City.
 
Man City wao wameshamaliza kazi yao kwenye mbio za ubingwa, wakiwaachia vumbi Liverpool ambao bila shaka watawakabili vijana wa Mauricio Pochettino watakaohitaji walau kutoa sare kuendelea kubaki kwenye Top Four kwa muda zaidi.
 
Mane, 26, yupo kwenye orodha ya wachezaji wanaosakwa na Real Madrid kwa ajili ya kunaswa kwenye dirisha lijalo la usajili huku mastaa wengine wanaosakwa kwenye timu hiyo ni Kylian Mbappe, Eden Hazard na Paul Pogba.
florentino perez ana muda mrefu sana hajafungua pochi lake kwa dhumuni la kutafuta galacticos, hawawezi kuziba nafasi ya ronaldo lakini ni lazima madrid watahitaji wachezaji takribani wawili wenye uwezo wa kuwapa magoli 40 kwa msimu kazi ambayo alikuwa anaifanya cristiano ronaldo peke yake.

luka modric umri umeshasogea kivyovyote watahitaji maestro mwengine na kwa sasa amebaki paul pogba
toni kroos umri umesogea na hata performance yake si ya kuridhisha.
 
Katika mchezo wa jana, Man City waliwazidi karibu kila kitu wapinzani wao, wakipiga mashuti golini mara saba, huku Fulham wao wakilenga goli mara moja tu, huku vijana hao wa Guardiola wakimiliki mpira kwa asilimia 81 dhidi ya 19 za wenyeji wao.
 
Back
Top Bottom