Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Man City ilipiga kona 11 na Fulham hawajapiga kona yoyote na hivyo kuufanya mchezo huo kuwa mwepesi kwa mabingwa hao watetezi na kukoleza mbio zao katika kunyakua ubingwa. Bao lake Aguero limemfanya awe amefikisha mabao 19, akijiweka pazuri kwenye mbio za kufukuzia Kiatu cha Dhahabu cha Ligi Kuu England.
 
35816742-711B-4DBE-A7CE-E176B85D8760.jpeg
 
Back
Top Bottom