capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
🤨🤨
.... si utani Mkuu. Yaan zege hata halijui kinachoendelea, bora angenikalia mm.....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Fungua hiyo link Mkuu hali wala halali.
Aaaa wapi? Unafikiri matajiri hawanuniwi? Kwa michepuko yao labda. Ndani huko utakuta hata kupigwa wanapigwa na kunyimwa konokono wananyimwa tu [emoji16][emoji16][emoji16]Kama una hela cheza nazo utakavyo amua zisukwe au zinyolewe itakua hivyo. Tajiri hanuniwi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mi sijawahi kupanda ndege mkuu labda angetaja siti ya bajaji
CC Zero IQ
Sindio utapanda ukiwa unamfata Sasa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mi sijawahi kupanda ndege mkuu labda angetaja siti ya bajaji
CC Zero IQ
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mi sijawahi kupanda ndege mkuu labda angetaja siti ya bajaji
CC Zero IQ
Mi namtakia mafanikio mema mdogo wetu Mane, mwafrika mwenzetu.Mane, 26, yupo kwenye orodha ya wachezaji wanaosakwa na Real Madrid kwa ajili ya kunaswa kwenye dirisha lijalo la usajili huku mastaa wengine wanaosakwa kwenye timu hiyo ni Kylian Mbappe, Eden Hazard na Paul Pogba.
Aliomba radhi kwa watumiaji wa Tecno Bro, mtapata dhahama kama hizo kwa muda.Kamalaika kazuri...
Marekebisho mapya ndiyo yanafanya picha zionekane mara mbili mbili ama? Nimeona pia picha za malkia wetu ziko mbili mbili. Sijui kama za kwangu hapo juu zimetoka mbilimbili. Kama ni hivyo itabidi warekebishe. I hope Mello is aware of this.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mie nilidhani ni weye Mkuu niwie radhi [emoji41]
Afe beki afe kipa, timu zote zinahitaji ushindiLiverpool wana nafasi ya kurudi kileleni, lakini kama tu watawachapa Spurs, ambao pia hawatakubali kuchapwa kirahisi kutokana na kukabiliwa na vita kali katika kuwania kuwamo kwenye Top Four inayotoa fursa ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.