Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ankoo nimeona maandiko una mzungumzia Pogba, anaondoka kweli? Kama ni kweli kwanini hakusikilizwa Jose ili kuutatua mgogoro kati yao?
Si wajua jose alichokwa sasa kila akiongeacho ilionekana ni kisingizio tu cha kumtwisha matatizo mchezaji ili kukwepa kutimuliwa. Pogba sio tatizo tatizo ni wakala wake. Yule jamaa sio kabisa akiamua jambo kaamua. Hivyo wakala anamshawishi aondoke hapo Man u. Anaweza ondoka kweli
 
Mlevi wa pombe ni bora akizidiwa atalala na mara nyingi bila kuathiri maisha ya yeyote yule lakini si mlevi wa madaraka huyavuruga maisha ya millions na wengine anaweza hata kuwatia vilema vya maisha au kuchukua uhai wao.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…