"Usumbufu umekuwa mkubwa kutoka kwa wadada maana sasa hivi napokea meseji nyingi kupitia Instagram, na kila mmoja ananieleza ametokea kunipenda anaomba niwe naye jambo ambalo kwangu wanatakiwa wasahau kabisa kunipata”. - Bondia Hassan Mwakinyo,
Mie naona si sawa kumlaumu yeye Mkuu. CCM ilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi sasa wamekifanya kimekua chama cha majizi, mafisadi na wauaji. Amani na mshikamano wamevuruga, azimio la Arusha wamevuruga. Kwa hiyo kumlaumu Baba wa Taifa kuhusu mwenge wakati hayuko tena nasi si sawa hata kidogo.
Mkuu hili suala hili suala la mwenge wa kulaumiwa amelala kule Butiama na mwingine ni yule Mzee Ganze. Hawa wengine waliofuata walikuta tayari nchi na watu wake washarogwa.