Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Pesaaaa !!!Mzee karudi kuwa kijana
Mkuu hili suala hili suala la mwenge wa kulaumiwa amelala kule Butiama na mwingine ni yule Mzee Ganze. Hawa wengine waliofuata walikuta tayari nchi na watu wake washarogwa.Wanastaajabisha sana hawa Mkuu. Mtu ana wadhifa serikalini zaidi ya miaka 20 halafu analalama eti, “tumechezewa sana”
Hata sijui. Simfuatiliagi. Yuko vizuriUmesikitika alivyopungua eee
Huyu ni mzee wetu Machache?
Sopu ya roho wallahiPesaaaa !!!
🙄🙄🙄🤥Hata sijui. Simfuatiliagi. Yuko vizuri
😁😁 Sawa mzee wa Mwembeyanga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo panamfaa moudgulf na vijana wenu akina Davet, Carba,... Mimi wa kijijini Temeke mikoroshini, ujanja wangu mwisho Tandika