Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Mzee karudi kuwa kijana
Why?Marukufu
Why?
🤣🤣🤣Naziogopa hizo ila ni neno watoto wengi hushindwa kulitamka sawa sawa wakiambiwa sema marufuku husema MARUKUFU 😜
Mi namtakia mafanikio mema mdogo wetu Mane, mwafrika mwenzetu.
Mungu amuongoze kwenye mafanikio yake
Got it.. ukisoma harakaharaka huoni kama imegeuzwaNaziogopa hizo ila ni neno watoto wengi hushindwa kulitamka sawa sawa wakiambiwa sema marufuku husema MARUKUFU 😜