Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu Kulogwa kisha kukaa na uchawi kwa miaka zaidi ya 58 ni jambo gumu.Mkuu hili suala hili suala la mwenge wa kulaumiwa amelala kule Butiama na mwingine ni yule Mzee Ganze. Hawa wengine waliofuata walikuta tayari nchi na watu wake washarogwa.
"Usumbufu umekuwa mkubwa kutoka kwa wadada maana sasa hivi napokea meseji nyingi kupitia Instagram, na kila mmoja ananieleza ametokea kunipenda anaomba niwe naye jambo ambalo kwangu wanatakiwa wasahau kabisa kunipata”. - Bondia Hassan Mwakinyo,
Naunga mkono kwa kiasi furani.Mie naona si sawa kumlaumu yeye Mkuu. CCM ilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi sasa wamekifanya kimekua chama cha majizi, mafisadi na wauaji. Amani na mshikamano wamevuruga, azimio la Arusha wamevuruga. Kwa hiyo kumlaumu Baba wa Taifa kuhusu mwenge wakati hayuko tena nasi si sawa hata kidogo.
Hahahahaha.......Mie naona si sawa kumlaumu yeye Mkuu. CCM ilikuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi sasa wamekifanya kimekua chama cha majizi, mafisadi na wauaji. Amani na mshikamano wamevuruga, azimio la Arusha wamevuruga. Kwa hiyo kumlaumu Baba wa Taifa kuhusu mwenge wakati hayuko tena nasi si sawa hata kidogo.
Basi tusiwe tunalalamika na kuanza kutafuta mchawi maana tumesharidhika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]tutafika tu hata kwa mwendo wa kibata bata
Sent using Jamii Forums mobile app