Mkuu mambo vipi habari za masiku* Watoto wake wanapofikisha umri wa miaka miwili mama yao huwatimua, wakajitegemee.
Daah! salama ndugu yangu, vp ulipotelea wapi?Mkuu mambo vipi habari za masiku
duh!!* Fisi jike huwa na muonekano wa jinsia mbili, katika uke wake kwa juu au sehemu ambayo mwanamke hukeketwa, ile sehemu kwa fisi huwa na ukubwa mkubwa sana inaweza fika nchi saba, jambo hilo humfanya aonekane na muonekano wa jinsia mbili.
Safari njemaMaombi yenu same to Dodoma
Mkuu nipo majukumu yalibana sana lakini majuzi kati nilitia timu humu niliwamiss sana watu wangu wa likesDaah! salama ndugu yangu, vp ulipotelea wapi?
Asante mkuuSafari njema