Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakati mbioo za ubingwa wa soka wa England zinatarajiwa kuamuliwa mwishoni na vita ya kushika nafasi nne za juu ikizidi kuwa kali kuliko wakati mwingine wowote, AFP inaangaliw akwa karibu mechi zilizosalia za timu sita zilizo kileleni.