Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Jay Z verse[emoji91][emoji91]Talk up
Jay Z verse[emoji91][emoji91]Talk up
Odeon ambayo sasa channel ten ni mtaa wa Zaramo, Chaga pale ukitoka Mosque st mtaa unaofuata. Umeanzia Libya ukaishia JamuhuriShukrani jirani, siku nikileta samaki wangu hapo shimoni Kariakoo nitapitia mitaa hiyo! Halafu hii mitaa ishaanza kunitoka, Chagga ni ile mitaa ya ilipokuwa Odeon/DTV?
Odeon ambayo sasa channel ten ni mtaa wa Zaramo, Chaga pale ukitoka Mosque st mtaa unaofuata. Umeanzia Libya ukaishia Jamuhuri
duh!! hatari sana
Fupi ni pale Cameo Cinema, umeanzia Pale BP Jamuhuri umeishia Libya.Aah, kweli! Shukrani sana, kuna kengine hapo kwa karibu kanaitwa Fupi Street! Basi Jumatatu njema jirani!
Jamaa masaa machache alitweet kuwa yupo na enemy wanamzingua,hatimaye kashambuliwa kwa risasiRapper Nipsey Hussle killed in shooting outside his L.A. store https://www.nbcnews.com/news/crime-...njured-outside-rapper-nipsey-hussle-s-n989371
JWTZRoho saba
Jamaa alikuja na ladha yake ya midundo,kulewa sifa,kusaini mikataba mibovu akapotea mazimaQ the Don
Hivi kuna mwingine anaitwa Texas??Duke touches
Sanaaaa yani hii album ipo nondo mno mzee nikisikiliza hakuna ngoma ya kurusha labda hizi God's plan, In my feeling na nyingine zilizopewa airtime kubwa...Nice song
Hivi mara ya mwisho ndio alikua Bongo rec?Jamaa alikuja na ladha yake ya midundo,kulewa sifa,kusaini mikataba mibovu akapotea mazima
Yeah! ni wawili totauti mzeeHivi kuna mwingine anaitwa Texas??
Hatojutia uamuzi wake wa kwenda kitengoJWTZ
Wilaya gani?
Mbona umeshushwa cheo, toka uspika mpaka mkuu wa Wilaya?[emoji16][emoji16][emoji16]