Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*OBITUARY #1*

Pa. Ogunrinde Adanla
*Occupation*: farmer
*Age*:...... 107yrs.
*Wife*:......4wives
*Children*:.... 17
*Grandchildren*:.... 23
Course of death oldage.


*OBITUARY #2*

Mr James Lawson.
*Occupation*: bank manager
*Age*:...........52
*Wife*:............1
*Children*..........2
*Grandchildren*..0
Cause of death : High blood pressure"
*Am still thinking*......[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Katika soka maisha huwa yanakwenda kasi sana. Mchezaji anapofikisha umri wa miaka 30 tu, tayari anahesabika kama mzee, ameshazeeka na timu yake inaanza mchakato wa kutafuta mchezaji wa kuja kurithi mikoba yake kwenye kikosi.
 
Hii hapa orodha ya vibabu vitano kwenye soka ambavyo ni moto kwa kufunga msimu huu na kuwafanya kuingia kwenye mchakamchaka wa kuwania tuzo za ufungaji bora kwenye ligi zao wanazocheza na Ulaya kwa ujumla. Hawa ni mastaa wanaotisha kwa kufunga wakiwa na umri unaoanzia miaka 32.
 
5. Cristhian Stuani – miaka 32, mabao 17

Girona wamekuwa na kiwango kizuri tangu walipopanda daraja kwenye La Liga. Msimu uliopita walimaliza ligi wakiwa kwenye nafasi ya 10 na msimu huu wapo kwenye nafasi ya 13 wakipambana kwa nguvu zote huko Catalunya.
 
Kwenye kikosi hicho kila mchezaji amefanya vizuri kwa uwezo wake, lakini mshambuliaji Cristhian Stuani amekuwa mstari wa mbele bila ya kujali umri wake. Staa huyo amefunga mabao 17 katika mechi 25 alizocheza kwenye La Liga na hivyo kuwa kinara wao wa mabao kwenye La Liga msimu huu.
 
4. Edinson Cavani – miaka 32, mabao 17

Huko kwenye kikosi cha Paris Saint-Germain ujio wa mastaa Neymar na Kylian Mbappe umepunguza kwa namna fulani umuhimu wa mshambuliaji Edinson Cavani kwenye kikosi hicho. Hata hivyo, Cavani bado ana umuhimu wake kwa mabingwa hao aliojiunga nao mwaka 2013.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…