Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati United itakapokuwa inataka kuwasaini mchezaji mkubwa kama Neymar, nadhani hawatakuwa katika faida kubwa. Inabidi upambane na makocha kama Jurgen Klopp na Pep Guardiola. United kama klabu imekuwa kivutio kwa wachezaji wengi wakubwa lakini wachezaji wakubwa wanataka kucheza chini ya makocha wenye rekodi nzuri na mvuto,” alisema Jenas.
 
Wakati Jenas akisema hayo, mwandishi mkongwe wa Gazeti la Daily Mail, Oliver Holt amedai United itafanikiwa na Solskjaer endapo tu itaanza kujali zaidi matokeo ya uwanjani kuliko masuala la kifedha.
 
Watu wanaosema uteuzi wa Ole Gunnar Solskjaer kama kocha wa kudumu wa Manchester United ni bahati nasibu wako sahihi. Naamini kila uteuzi wa kocha ni bahati nasibu. Pep Guardiola alikuwa kama bahati nasibu wakati Barcelona ilipomfanya kocha wa kwanza akitokea timu B. Ni kama Zinedine Zidane alipopewa kazi Santiago Bernabeu mara ya kwanza,” alisema Holt.
 
Lakini, Man United haipo tayari kuachana na staa wao huyo hasa kocha Ole Gunnar Solskjaer akiwaambia mabosi wake kwamba hakuna kumuuza kiungo huyo aliyeshinda ubingwa wa Kombe la Dunia akiwa na kikosi cha Ufaransa mwaka jana.
 
Imekuwa ikielezwa kwa muda mrefu kwamba Bale anawindwa na Man United sambamba na Kroos, kitu ambacho kinaweza kutimia kwenye dirisha lijalo la usajili kama Zidane ataendelea kung'ang'ania kwenye mpango wake wa kumchukua Pogba.
 
Hivi karibuni Zidane alisema kitu kuhusu Pogba, akisema: “Nampenda sana Pogba mfahamu hivyo. Namfahamu vyema kabisa. Ni mchezaji wa aina ya kipekee na kwamba anakupa vitu vingi kutokana na ujuzi wake. Anajua kushambulia na kukaba. Hata hivyo, si mchezaji wangu. Anachezea Man United na yatupasa kuheshimu hilo. Na yeye siku zote amekuwa akisema anaipenda Madrid.”
 
Hii Avatar imekaa mno jamani. It is time for a new one. Whu izi wisi mi oni zisi kritikale impotanti ishu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Screenshot_20190401-103850~2.jpeg
 
Back
Top Bottom