Kabsa Bro,umri wetu huu kufika uzeeni ni ishu sanaFainali uzeeni?
Only ukibahatika kufika huko. Kuhengeka is a blessing bro hasa siku hizi [emoji16][emoji16][emoji16]...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiporo kilichacha ghafraHalafu hii tabia yaani. Nilikutana na kiporo after 15 years hatujaonana na baada tu ya salamu nywele zikafumuka ghafla ikawa "nataka niende saluni nikasuke". Niliishiwa pozi hata hamu ya kukipasha ikaniisha aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Not even yourself especially when you are horny [emoji2221][emoji2221][emoji2221]Trust nobody
Kabsa hawana tofauti mzeeKweli maisha hayana mfumo mzee mwenzangu Q kawa kama Lamer
Ngoja niisake aisee,Texas anajua sanaKuna kazi ya Uno inaitwa Rap Science itafute humo ndani Texas alifanya kazi Safi kabisa
Mzuka ukaisha ghafla. Hatujaonana 15 years badala tupige stori za maana kiporo kinaanza na ishu za nywele. Kilienda saluni ndiyo nami nikasepa nikakiacha kinalalamika. Tabia ya hovyo sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiporo kilichacha ghafra
Hapana bro,ngoja nipitie upya niangalie vizuriKuna uzi flani nimekutag jana, uliona?
Tatzo app haioneshi hata kama kuna mtu kan tag,niende kwenye browserKuna uzi flani nimekutag jana, uliona?
HahahahaHii Avatar imekaa mno jamani. It is time for a new one. Whu izi wisi mi oni zisi ishu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]View attachment 1060187
Jamaa anaomba msaada ajibu nn hapo tena,maana alitaka akwepe mzinga lkn bado unakuja tu[emoji23][emoji23][emoji23]Mzuka ukaisha ghafla. Hatujaonana 15 years badala tupige stori za maana kiporo kinaanza na ishu za nywele. Kilienda saluni ndiyo nami nikasepa nikakiacha kinakalalamika. Tabia ya hovyo sana.
🤣🤣🤣🤣 Daah!Not even yourself especially when you are horny [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
App jau Sasa mpaka uipate siutakua umefukua sana mzeeTatzo app haioneshi hata kama kuna mtu kan tag,niende kwenye browser
Sana mzee,ulikuwa uzi unahusu nnApp jau Sasa mpaka uipate siutakua umefukua sana mzee
Ngoja nikakutag tena hakuna namnaSana mzee,ulikuwa uzi unahusu nn
Itapendeza bro[emoji120][emoji120]Ngoja nikakutag tena hakuna namna
Tayari mzeeItapendeza bro[emoji120][emoji120]