Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipindi cha Mourinho karibu nusu ya wachezaji waliokuwa wakitaka kuihama Man United, lakini miezi michache tu ya Solskjaer kazini, wachezaji kibao wamesaini mikataba mipya ya kuendelea kubaki kwenye kikosi hicho cha Old Trafford.
 
Umeambia hivi, Solskjaer ni mtu wa watu hata mashabiki wa Liverpool hawana kinyongo naye. Hawakuwa wakipinga kuhusu kupewa kazi hiyo ya Man United licha ya kwamba hawatakuwa na furaha sana akibeba ubingwa mbele yao.
 
Wakati alipoongoza timu hiyo kwenye mechi 19, alishindanishwa na watangulizi wake kwenye kikosi hicho cha Old Trafford na mpinzani wake waliyekuwa wakikimbizana kwenye mchakamchaka wa kuwania kibarua cha kudumu cha kuinoa timu hiyo. Kwenye Ligi Kuu England, Ole amepoteza mara moja tu katika mechi 14. Lakini, rekodi za watangulizi wake tangu alipoondoka Sir Alex Ferguson walipocheza mechi 19 zikoje?
 
Kwenye kipindi cha Louis van Gaal, Mdachi huyo, ambaye hivi karibuni alizua mambo baada ya kudai Ole anacheza staili ya kupaki basi, kwenye mechi zake 19 za mwanzo kwa wababe hao wa Old Trafford, alishinda 10, sare tano na kupoteza mechi nne.
 
Kipindi cha zamu ya David Moyes, ambaye ndiye aliyemrithi Ferguson na kudumu kwenye timu hiyo kwa miezi 10 tu, rekodi zake katika mechi 19 za mwanzo, ameshinda 11, sare tano na vichapo vitatu. Kwa rekodi hizo, Ole amewazidi watangulizi wake wote na kufuatiwa na Moyes. Kimantiki, Moyes alikuwa na rekodi nzuri katika mechi zake 19 za mwanzo klabuni Man United kuliko Mourinho na Van Gaal.
 
Kuhusu wapinzani wake kwenye Top Six zilivyokuwa rekodi zao katika mechi 19 za mwanzo, Mauricio Pochettino huko Tottenham Hotspurs alishinda 10, sare nne na kufungwa tano, wakati Pep Guardiola wa Manchester City katika mechi 19 za mwanzo, alishinda 12, sare nne na vichapo vitatu
 
"Kwatakwata na mdundo, punda jasho lakutoka
Punda wenda kwa kishindo, mwendo mchaka mchaka
Mgongoniko ni rundo, bahasha la takataka
Na bwana fimbo kashika, punda uongeze mwendo"
View attachment 1060514
Punda analia machozi, punda kachoka hajiwezi
Mwenye mzigo hataki ushenzi, hajali pakavu wala utelezi
Punda ni nani wa kumuenzi, hali yake mbaya kufika kesho hawezi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unajua kipindi hicho nilikuwa "nyoka" wa wauza spea wa kichaga pale maduka ya Temeke mwisho, walivyo niingiza huko basi nikawa mgumu kuliko hata nilivyokuwa shule. Naamini ilisaidia maana sijui ingekuwaje...
Usingekuwepo. Mungu ni mwema. Nilikuwa huko wakati yale mashati ya Juliana yakiishia ishia. Ilikuwa patashika nguo kuchanika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…