I love this song VE, and this guy has a very bright future in this industry.
Heshima yako mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah, aiseeee.
Hata sijui kwanini wamepatelekeza vile. Maisha nilianzia kuhanja Kampala-Masaka,kikinuka huko mbio zangu zikawa zinanifikisha Bkb. Nikawa na ndugu wengi pale, mpaka sasa wapo japo sikufanikiwa kuacha alama yangu binafsi.Vijijini wako vizuri sana ila hapo mjini wamepatelekeza. Ulisoma huko?
Ikurudie kiongozi wangu.Heshima yako mkuu...
Hukuacha katoto pale?Hata sijui kwanini wamepatelekeza vile. Maisha nilianzia kuhanja Kampala-Masaka,kikinuka huko mbio zangu zikawa zinanifikisha Bkb. Nikawa na ndugu wengi pale, mpaka sasa wapo japo sikufanikiwa kuacha alama yangu binafsi.