Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
#Kuchapiwa hakuepukiki# [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
#Kuchapiwa hakuepukiki# [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahahah ni kazi kubwa inahitajika kuutoa usukuma kwa msukuma,
Ila acha wabaki hivyo hvyo,wanatuburudisha sana kwa mambo yao
Nachowapendea hawa jamaa ni wakarimu sana[emoji119]
Bukoba bwana hasa pale mjini sijui kuna tatizo gani. Namba 2 kwa PhDs na maprofesa lakini miaka nenda miaka rudi kuko vile vile.Hakika pamenifanya nipa hamu sana.Kwa miaka 14 kupita Bukoba nimeikuta vile vile, ajabu mji wenu huo nilipotea kabisa kufika ofisi ya Dc.
Kuna haja ya kumtafuta Nsamaka haraka iwezekanavyo ili mniandalie mazingira rafiki