Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mabadiliko niliyo yakuta pale ni kujengwa kwa kituo cha mafuta pembeni mwa kituo cha basi na gest house niliyo kuwa nikifikia wameweka choo cha ndani ila bei ni ile ile. Shimo nililo liacha karibu na ofisi ya Falcon 2003 katikati ya stendi juzi kati nimelikuta.Bukoba bwana hasa pale mjini sijui kuna tatizo gani. Namba 2 kwa PhDs na maprofesa lakini miaka nenda miaka rudi kuko vile vile.
Vijijini wako vizuri sana ila hapo mjini wamepatelekeza. Ulisoma huko?Mabadiliko niliyo yakuta pale ni kujengwa kwa kituo cha mafuta pembeni mwa kituo cha basi na gest house niliyo kuwa nikifikia wameweka choo cha ndani ila bei ni ile ile. Shimo nililo liacha karibu na ofisi ya Falcon 2003 katikati ya stendi juzi kati nimelikuta.
Ila kijijini kwao sasa... Ng'aring'ariii kwa mijumba
Sema chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
😂😂😂😂😂😂😂Bukoba bwana hasa pale mjini sijui kuna tatizo gani. Namba 2 kwa PhDs na maprofesa lakini miaka nenda miaka rudi kuko vile vile.