Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila anaporudi kwenye mji wa wao, Ole Gunnar – kama wengi wanavyopenda kumwita wanamtambua kama mtu mwenye moyo safi aliyepata kutokea kwenye sayari hii. Solskjaer amekuwa mtu wa watu, amekuwa mwepesi wa kuanzisha mazungumzo hata anapokutana na watu kwenye maduka makubwa.
 
jamaa ameanzisha thread tokea siku ya jumamosi mpaka muda huu thread imekosa wachangiaji.
[emoji239][emoji228][emoji212][emoji880][emoji200][emoji3070][emoji243][emoji233]
Inatokeaga hiyo mkuu hasa kama hauko femazi au kama una tabia ya kuanzisha sredi zenye pumba halafu ukiguswa unaanza kutoa mapovu. Nitag nikamchangie [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ole mwenye umri wa miaka 46 amekuwa shujaa wa kijiji. Imekuwa hivi tangu enzi zake alipokuwa mchezaji wa Man United hadi sasa akiwa kocha na kuifanya timu hiyo kupata mafanikio ya aina yake ndani ya muda mchache tu.
 
Ole mwenye umri wa miaka 46 amekuwa shujaa wa kijiji. Imekuwa hivi tangu enzi zake alipokuwa mchezaji wa Man United hadi sasa akiwa kocha na kuifanya timu hiyo kupata mafanikio ya aina yake ndani ya muda mchache tu.

Ubinadamu wake na uwezo wa kuunganisha watu ndicho kitu kinanchomfanya kuwa na mafanikio makubwa baada ya kuirudisha Man United kwenye mstari baada ya kuonekana mambo yametibuka chini ya Jose Mourinho.
 
Hukuacha katoto pale?

Shemu oni yu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unajua kipindi hicho nilikuwa "nyoka" wa wauza spea wa kichaga pale maduka ya Temeke mwisho, walivyo niingiza huko basi nikawa mgumu kuliko hata nilivyokuwa shule. Naamini ilisaidia maana sijui ingekuwaje...
 
Zahma hizo hazishababishwi na jaala ya Mungu kama wengi wanavyotaka kutuaminisha. Zinasababishwa na binadamu ambaye kwa nguvu alizojipa yeye mwenyewe sasa anatumia nguvu hizo kukandamiza raia wake hasa vijana hadi wakawa hawafurukuti
 
"Kwatakwata na mdundo, punda jasho lakutoka
Punda wenda kwa kishindo, mwendo mchaka mchaka
Mgongoniko ni rundo, bahasha la takataka
Na bwana fimbo kashika, punda uongeze mwendo"
1060514
 
Back
Top Bottom