BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mm mbona sipewi like [emoji849][emoji849]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jibu konkiii. Brooo njoo uone sio mwanaume wa dar huyu
Hakika pamenifanya nipa hamu sana.Kwa miaka 14 kupita Bukoba nimeikuta vile vile, ajabu mji wenu huo nilipotea kabisa kufika ofisi ya Dc.Panaingirika ankoo,mji unakuwa kwa kasi sana,moja ya wilaya zinazoingiza mapato kwa wingi sana,kuwa njia ya panda ya kwenda nchi jirani kama Rwanda na Uganda unaufanya ule mji ukue kwa kasi sana,,
Cha ajabu unaweza ukapita Shinyanga ukabaki unajiuliza Kahama na Shinyanga upi ni mkoa
Karbu sana Ankoo
Mwanaume wa Dar huyo. Hakuna ngosha anayefanya huo upuuzi wa scrub na masaji za miguu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jibu konkiii. Brooo njoo uone sio mwanaume wa dar huyu
Hao huku Unyantuzu tunawaitaga "madigala". Hao mbwembwe tu za utajiri lakini hazina uhusiano na Unyantuzu wao. Hata wewe ulivyotajirika na hayo madhahabu siku ukija kufanya harusi pengine mbwembwe ndo zitazidi....Hahaha huwa nawaona huku nilipo,kuna wale matajiri wa dhahabu,wafabiashara wa dhahabu,,wengi wao ni Wanyantuzu,wana mabinti wazuri na wengi wao weupe wameenda hewani,,harusi zao sio mchezo bro
Hakuna ngosha bishororo hivyo. Msukuma halisi angeacha hao mabinti kila mmoja ana twins na triplets. Mwanaume wa Dar huyo and likely nyuki wa mashineni...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anawasingizia wanaume wa dar bhana,,huyo msuku kabsa
Wakati mwingine zali tu linakuangukia bila disipilini wala nini...Anyone who has ever made anything of importance was disciplined
????Daah majama jau kishenzi
Kind of...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]Your daily behavior reveals your deepest beliefs
Thomas Edison...I have not failed. I’ve just found 10,000 ways that won’t work
Einstein?Show me a person who has never made a mistake and I'll show you someone who has never achieved much
Edison again?Genius is 1% inspiration, 99% perspiration
Nakusalimia
Hiyo ni kweli kabisa. Nimeshafika nchi 25+ katika mabara yote lakini kila ninakoenda nikikutana na Wabongo basi mara moja tu wananitambua mi ni Msukuma otomatikale. Ushamba mzigo bro [emoji16][emoji16][emoji16]Hahah!! Jana Kuna sehemu wadau walikua wanajadiri issue ya Madreva na liquid, basi jamaa mmoja akasema eti "Kumtoa msukuma usukumani ni kazi rahisi ila kutoa usukuma kwa Msukuma ndio mtihani"
Rev alishindwa kuvumilia ishu za konki konki masta. Sad !!!35 years ago today, singer, songwriter and Motown legend, Marvin Gaye was shot and killed by his father, a day before his birthday. Rest in Powe
View attachment 1060379
Kazi ngumu eeh!?