Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1552820479953.jpeg
 
Hivi Wazanzibari inabidi mfanye nini ndiyo muweze kujitoa kwenye huu Muungano? Hamuwezi kuitisha referendum? Hivi 99% ya Wazanzibari wakipiga kura kuwa wanataka kujitoa katika Muungano bado tu mtakataliwa? Naona kama mnateseka sana !!!
Waanze harakati za kudai uhuru kamili wa kujitawala nje ya muungano, vinginevyo mengine yote ni kujipotezea muda
 
Waanze Zanzexit siyo? Brexit limebuma huko, haya mambo si mchezo jirani! [emoji1][emoji1]
Na kweli. Uingereza aibu tupu yaani. Ingekuwa nchi ya Kiafrika tungekuwa tunachekwa balaa. Uingereza yaani utafikiri siyo taifa lililowahi kutawala dunia nzima...

Wazanzibari wabakie tu. Nilimuona jamaa mmoja mwanasayansi wa hali ya hewa akidai kuwa miaka 50 mpaka 100 hivi ijayo tuvisiwa huto tutakuwa tumemezwa na bahari kama mabadiliko ya hali ya hewa yataendelea kama ilivyo kwa sasa. Wasubiri subiri waone hali itakavyoenda kwanza...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom