Waanze harakati za kudai uhuru kamili wa kujitawala nje ya muungano, vinginevyo mengine yote ni kujipotezea mudaHivi Wazanzibari inabidi mfanye nini ndiyo muweze kujitoa kwenye huu Muungano? Hamuwezi kuitisha referendum? Hivi 99% ya Wazanzibari wakipiga kura kuwa wanataka kujitoa katika Muungano bado tu mtakataliwa? Naona kama mnateseka sana !!!
Waanze harakati za kudai uhuru kamili wa kujitawala nje ya muungano, vinginevyo mengine yote ni kujipotezea muda
Na kweli. Uingereza aibu tupu yaani. Ingekuwa nchi ya Kiafrika tungekuwa tunachekwa balaa. Uingereza yaani utafikiri siyo taifa lililowahi kutawala dunia nzima...Waanze Zanzexit siyo? Brexit limebuma huko, haya mambo si mchezo jirani! [emoji1][emoji1]