Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alipata umaarufu mkubwa zaidi wakati alipokuwa kwenye kikosi cha West Ham na kuheshimika. Licha ya kucheza soka la kiwango cha juu hivyo, Di Canio hajawahi kuvaa jezi za Italia na kuichezea timu ya taifa ya nchi hiyo na pengine jambo hilo limetokana na mambo yake mengi ya utata.
paolo di canio alkuwa ni zaidi ya muhuni kuanzia uchezaji wake mpaka alipokuwa kocha, alishawahi kufungiwa mechi 11 kwa kitendo chake cha kumsukuma referee.
 
Katika historia kuna tofauti kubwa kama nchi iliweza kukubali kutawaliwa na mwanamke. Nchi mbalimbali zilibadilisha sheria zao walipoona ya kwamba mfalme alikosa watoto wa kiume ilhali viongozi waliogopa matatizo ya uchaguzi wa mfalme kutoka familia nyingine.
 
Mfano wa tofauti hizi ni maungano ya kifalmeya Uingereza na Hannover kati ya 1714 na 1837. Mtemi Georg Ludwig wa Hannoveralirithi cheo cha mfalme wa Uingereza na watoto wa kiume wa familia waliendelea kuwa wakuu wa nchi zote mbili. Baada ya kifo cha mfalme William IV Uingereza ulimteua mpwa wake Victoria kuwa malkia mpya. Lakini sheria za Hannover hazikukubali mwanamke kama mtawala hivyo maungano ya kifalme kati ya nchi hizi mbili yalikwisha.
 
Screenshot_20190402-091559.png
 
5. Sylvain Distin

Beki kisiki huyo alitamba sana katika vikosi vya Manchester City na Everton. Sylvain Distin amecheza zaidi ya mechi 700 katika ngazi ya klabu katika maisha yake ya soka, lakini kitu cha kushangaza hajawahi kuitwa hata mara moja kwenda kuichezea timu yake ya taifa ya Ufaransa kwenye soka la kimataifa.
alikuwa ni mlinzi wa kawaida sana halafu ndio hivyo amezaliwa nyakati mbaya za kiuchezaji.
lian thuram, marcel desailly ,laurent blanc wote hao walikuwa na phd ya kulinda
 
Back
Top Bottom