😂😂. Nimeiona aisee me nilikua sihold kile kidudeWow ipo tayari
Akileta mzaha kama wa jumapili atajikuta mou party twonumbisa huyu ole akipenda mungu msimu ujao utakuja kumgeuzia kibao
🐤🐤
Itakuwa wametuamuliahaya mabadiliko yanalenga uzi huu tu?
Na leo muandalieni matusi yake bado mapemaAkileta mzaha kama wa jumapili atajikuta mou party two
Aaah bado sana. Huu msimu kauharibu mouNa leo muandalieni matusi yake bado mapema
Msimu ujao mtakua na ingizo la wachezaji wapya sasa mpaka wazoee mazingira na mifumo ya mwalimu tayari Pep kawaacha 10 pointsAaah bado sana. Huu msimu kauharibu mou
Klop atatusaidia kuwapunguza spidi tulia huko hahahaMsimu ujao mtakua na ingizo la wachezaji wapya sasa mpaka wazoee mazingira na mifumo ya mwalimu tayari Pep kawaacha 10 points