paolo di canio alkuwa ni zaidi ya muhuni kuanzia uchezaji wake mpaka alipokuwa kocha, alishawahi kufungiwa mechi 11 kwa kitendo chake cha kumsukuma referee.Alipata umaarufu mkubwa zaidi wakati alipokuwa kwenye kikosi cha West Ham na kuheshimika. Licha ya kucheza soka la kiwango cha juu hivyo, Di Canio hajawahi kuvaa jezi za Italia na kuichezea timu ya taifa ya nchi hiyo na pengine jambo hilo limetokana na mambo yake mengi ya utata.
alikuwa ni mlinzi wa kawaida sana halafu ndio hivyo amezaliwa nyakati mbaya za kiuchezaji.5. Sylvain Distin
Beki kisiki huyo alitamba sana katika vikosi vya Manchester City na Everton. Sylvain Distin amecheza zaidi ya mechi 700 katika ngazi ya klabu katika maisha yake ya soka, lakini kitu cha kushangaza hajawahi kuitwa hata mara moja kwenda kuichezea timu yake ya taifa ya Ufaransa kwenye soka la kimataifa.
Ukiona manyoya ......
unaweza kushangaa aliyempiga picha ni mtu wake wa karibu zaidi anayemfahamu kiundani au pengine ni yeye mwenyewe ndiye aliyetoa maamuzi ya kupigwa picha.
hahahaaa...Ukiona manyoya ......
Alafu domestic hii
Eti Domestic Ha hahUkiona manyoya ......
Alafu domestic hii
Eeh nimezingatia ngozi ya mwanadada, uvaaji wake na kubwa zaidi ni uwepo wa product ya mzee Bakhresa hapo mezani...Eti Domestic Ha hah
Watanzania tumekwenda 100 steps ahead.