😁😁😁Ila jamani tuache mzaha, wamama wa kiislamu wanajua sana kupika masaptasapta. Mama Muna nakukumbuka sana kwa kufanya nifurahie lunch yangu kila siku. Koku wangu akimaliza shule mwakani ntamleta umfundishe kupika.
Mishkaki yake ndio maalufu hapa mjini, kumbe adi kuna supu yake?Supu ya nundu, at Break Point Mbeya.
Mzee mimi huwa napendelea mapishi ya watu wa pwani, hasahasa waislamu mama Muna kipindi cha mfungo alikuwa ananiletea kande za mahindi makavu zinanukia nyumba nzima, sijui alikuwa anaweka nini yule mama. Futari yake ndiyo kabisaaa, tambi ndiyo usiseme.....Teh teh teh
Kuna sehemu Mbeya inaitwa Break Point wanatengeneza hadi ya Ulimi mzee.Mishkaki yake ndio maalufu hapa mjini, kumbe adi kuna supu yake?
😁😁 Nikweli mkuu Pwani Pwani wapo vizuri zaidi kwenye hicho kitengo tofauti na watu wa BaraMzee mimi huwa napendelea mapishi ya watu wa pwani, hasahasa waislamu mama Muna kipindi cha mfungo alikuwa ananiletea kande za mahindi makavu zinanukia nyumba nzima, sijui alikuwa anaweka nini yule mama. Futari yake ndiyo kabisaaa, tambi ndiyo usiseme.....Teh teh teh
Wanawake wa Zenji wanapika bro.😁😁 Nikweli mkuu Pwani Pwani wapo vizuri zaidi kwenye hicho kitengo tofauti na watu wa Bara
Hahahaha, Sehemu yoyote ile nikienda, signature ya kwanza ni msosi. Halafu mengine ndiyo yanafuata.hahahahahaaaaaa hizi comment za bwana Malcom Lumumba zinaniondolea stress za kuchapwa na mbwaha kule uingereza.
malcom unaonekana umeshatembelea sehemu nyingi sana za kidunia kwa njia ya msosi.
si ungelitafuta mchumba wa kizanzibari akupikie bagia, kachori, wali unaonukia, katlesi, kaimati.Hahahaha, Sehemu yoyote ile nikienda, signature ya kwanza ni msosi. Halafu mengine ndiyo yanafuata.
Dini haijawahi kuwa kizuizi kwangu kabisa mkuu, sema umri tu ndiyo umeenda. Haya mambo ya kurukaruka na vibinti tumewaachia vijana sasasi ungelitafuta mchumba wa kizanzibari akupikie bagia, kachori, wali unaonukia, katlesi, kaimati.
au tatizo ni utofauti wa kiimani?kama ishu ni tabia sidhani kama malcom unatabia ovu.