Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dini haijawahi kuwa kizuizi kwangu kabisa mkuu, sema umri tu ndiyo umeenda. Haya mambo ya kurukaruka na vibinti tumewaachia vijana sasa
nilifikiri suala la imani, si unajua huku kwetu watu wengi tunawachukulia watu wa upande wa pili kama ni watu wasiokuwa na chembe ya imani kuanzia dini, siasa hadi matendo.
katika kukaaa kwako na baadhi ya wazanzibari hujawahi kushuhudia situatiaon kama hizo?​
 
Nimelishuhudia sana, sema nililifahamu mapema na sikutaka kabisa kuzua mtafaruku wa namna hiyo na wenyeji wangu: Kiufupi hilo liko kwenye kila dini ndugu yangu.
Ndiyo maana nikienda sehemu yoyote ile My First Priority is FOOD, nikitoka hapo ni kazini.
 
Prof anapenda totoz aisee.....
Sasa kale kabinti si katampa stress tu.
Prof inamuhusu hii..
IMG_20190403_034600.jpeg
 
Back
Top Bottom