Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😁😁 Nikweli mkuu Pwani Pwani wapo vizuri zaidi kwenye hicho kitengo tofauti na watu wa Bara
 
si ungelitafuta mchumba wa kizanzibari akupikie bagia, kachori, wali unaonukia, katlesi, kaimati.
au tatizo ni utofauti wa kiimani?​
kama ishu ni tabia sidhani kama malcom unatabia ovu.
Dini haijawahi kuwa kizuizi kwangu kabisa mkuu, sema umri tu ndiyo umeenda. Haya mambo ya kurukaruka na vibinti tumewaachia vijana sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…