Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hii Sharia nmeipenda,imetulia nafikiri ni njia nzuri ya kutokomeza vitendo hvyo haramu visivyo kubarika kwenye jamii!!!
Swali langu ni je hawa wanaosupport vitendo hvyo wameliangaliaje hili??naona kama Brunei wanajiweka kwenye matatzo zaidi
Mungu awasimamie kutokomeza ushenzi huo!!
Swali langu ni je hawa wanaosupport vitendo hvyo wameliangaliaje hili??naona kama Brunei wanajiweka kwenye matatzo zaidi
Mungu awasimamie kutokomeza ushenzi huo!!
'Barbaric to the core': Brunei brings in gay sex stoning law https://www.cnn.com/2019/04/03/asia/brunei-stoning-law-intl/index.html