Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wala huna haja ya kuuliza kamanda. Jisikie huru [emoji109][emoji109][emoji109]niruhusu hii picha niiweke avatar.
Me too [emoji109][emoji109][emoji109][emoji123][emoji123][emoji123]
Hapana kamanda japo tuliwahi kufanya kazi pamoja kwenye CHAWAMITA enzi zileee. Na ufanano unaishia hapo [emoji16][emoji16][emoji16]BAK na SHIMBA YA BUYENZE ni ndugu wawili waliozaliwa na wazazi tofauti, tabia zao zinafanana.