Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1554303728810.jpeg
 
’Inawezekana baada ya mimi kutoka wizara ya Ujenzi, mmepata mawaziri ambao wanawaeleza maneno matamu matamu, kwangu matamu yalishakwisha yamebaki maneno makavu makavu ndio nawaambia hivyo leo, barabara iishe’’
Rais Dkt. John Magufuli
 
Niwapongeze kituo cha Utafiti cha Naliendele, mnafanya kazi nzuri, nimeambiwa mnatengeneza utafiti wa kupata juisi kutoka kwenye korosho, kama ni divai ya korosho au ni gongo ambayo ni ‘special’ itengenezeni iliyopimwa kwamba percentage ya alcohol ni kiasi fulani, hata hizi pombe kali zinazokuja si ni gongo tu, lakini zimepimwa, sasa mtengeneze gongo ya aina yake ambayo ni nzuri, tunavidharau vitu vyetu’’ Rais Dkt. John Magufuli
 
Back
Top Bottom