Niwapongeze kituo cha Utafiti cha Naliendele, mnafanya kazi nzuri, nimeambiwa mnatengeneza utafiti wa kupata juisi kutoka kwenye korosho, kama ni divai ya korosho au ni gongo ambayo ni ‘special’ itengenezeni iliyopimwa kwamba percentage ya alcohol ni kiasi fulani, hata hizi pombe kali zinazokuja si ni gongo tu, lakini zimepimwa, sasa mtengeneze gongo ya aina yake ambayo ni nzuri, tunavidharau vitu vyetu’’ Rais Dkt. John Magufuli