Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

“Waziri Mkuu amenipa fursa ya kwenda Misri nasikia furaha sana, Mungu akitaka kukupa anakupa sikutegemea, Mimi huwa nafurahi hata kama Mtu akinisema vibaya inawezekana aliteleza na kama Mungu anasamehe kwanini Binadamu asiweze kusamehe” - Pierre Liquid.
 
Kweli mkuu wa mkoa wa Mtwara umeshindwa hata kumtuma OCD au RPC wako ukamtandika pingu kwa sababu ule ni uhujumu uchumi kwa maendeleo ya Wanamtwara akashughulikiwe kule, hilo nalo lilikushinda? Wewe DC una mamlaka ya kumweka mtu masaa 48 lokapu, wakati mwingine mnawaonea raia wa kawaida, ulishindwaje? Rais Dkt. John Magufuli
 
Level yetu kwa sasa ni matawi mengine!!
Kama Moise katumbi atamtaka Kagere aweke mezani Dola milioni nane za kimarekani!! Hii sio Simba ile,hii ni kitu kingine kabisa!!
Hahahahaha ukinuna jipakaze pilipili machoni ndio tiba yako kwa sasa!! Yes We Can
 
’Mkandarasi wa uwanja wa ndege hatakuwa na sababu ya kuchelewesha kuanza kufanya kazi kwa nguvu zote na fanye kazi usiku na mchana, mkandarasi huyu wa hapa ambaye tangu mwaka jana anahangaika tu na kilometa 50, angepewa kilometa 200 naona angemaliza miaka 200 lakini ‘perfomance’ ya kandarasi huyu, rekodi yake sio nzuri Data Company alifanya kazi kutoka Same- Mkumbala alichelewa na nimeshangaa kupewa kazi hapa, makandarasi ya hovyo hovyo ndio wanapewa kazi’’ Rais Dkt. John Magufuli
 
Mpeni asilimia 15 bill. Saba na ole wake asifanye kazi Haki ya Mungu atakoma mwenyewe, akishapata hizo fedha ndani ya siku tano afanye kazi usiku na mchana, msinisamehe waheshimiwa Maaskofu wanasema usilitaje bure jina la Mungu najua mmenisamehe, lakini kwa hawa wakandarasi ngoja nilitaje ili kusudi wakome kabisa kwa ajili ya kufanya kazi hizi’’ Rais Dkt. John Magufuli
 
Mama Wema Sepetu amshushia kipigo kikali Diana Kimaro na kuapa kumvunja mguu ! Kwa mujibu wa GPL Wema Sepetu siku kadhaa zilizopita alienda Arusha lakini alipewa onyo na mama yake mzazi kuwa ni marufuku kuongozana Na watu ambao mama Wema anaowaona wana tabia chafu. Katika Safari hiyo Mama Wema alimwambia Wema aongozane na Petitiman na mpiga picha wake anayeitwa Bestizzo ila katika kufuatilia mama Wema akagundua Wema kaongozana na Diana Kimaro na jamaa mwingine anayetajwa Kwa jina la Kenneth Sepetu ambaye Mama Wema anashangaa jamaa huyo kalipata wapi jina la Sepetu kwakuwa sio ndugu yao. Mama Wema hataki kabisa kuwaona kuwa karibu Na binti yake huyo asiyekaukiwa matukio akiamini Diana anamfundisha Wema tabia mbaya Licha ya Diana Kimaro kuwahi kupewa onyo mapema na Mama Wema aache urafiki na mwanae lakini akapuuza, waliporudi Arusha wote watatu walitinga nyumbani Kwa kina Wema ndipo mama Wema hasira zikampanda na kumshushia kipigo Diana huku Wema akitazama tu bila kufanya kitu kwakuwa alishakanywa muda aache urafiki na Diana. Mama Wema alipoulizwa na GPL kuhusu kumnyuka Diana alikiri Kwa kusema "Siyo kumpiga, nimempiga hasa na bado kuna siku nitamvunja mguu, nimeshamwambia sitaki ushoga na mwanangu" “Wakati anaondoka nilimwambia aambatane na Petitman na mpiga picha wake Bestizo. Nilipokuwa nawapokea nikashangaa kuwaona(kina Diana) nikasema sijui niende nikavae suruali kwanza ndipo nije niwafumue, basi nilijikuta nampiga teke Diana,” alisema mama Wema. “Mimi naomba kumwambia Diana siku ile nimempiga haikutosha, kuna siku nitamuumiza ndugu zake watamkuta Muhimbili, maana Wema hawezi kuongozana kila mahali na watu wasiojielewa,” alisema mama huyo kwa ukali. Kwa mujibu wa GPL Bestizzo amethibitisha kutokea Kwa sokomoko hilo. Hata hivyo, wema Sepetu anayedaiwa kufunzwa tabia mbaya kiumri anatajwa kumpita Diana Kwa miaka sita
 
Wema ana miaka mingapi mpaka achungwe na mamake kiasi hiki? Hopeless mama [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…