Hahaa siku hizi kama sio wewe wa zamani,huu uzi mzuri sana. Am fine,and you?Nmeku-miss, how are You?
Mmh huyo mzee sio hata age mate wa Zari..
Yea Bro, me pia bado naulizwa kama nimekula!! Kaibu kila sikuAndaeitini busara tupu dah !!!
Ni kweli aisee. Hasa sisi vitindamimba dah...
Ila ka wema kamezidi daah hadi mamaake anafahamu kanavutwa kissme na diana si mchezoAndaeitini busara tupu dah !!!
Ni kweli aisee. Hasa sisi vitindamimba dah...
Huu ni ubuyu wa ndani ndani sasa. Kinasagwa ndo maana mama imebidi awe mbogo mpaka kutoa mkong'oto?Ila ka wema kamezidi daah hadi mamaake anafahamu kanavutwa kissme na diana si mchezo
Am fine, zamani ilikuaje?Hahaa siku hizi kama sio wewe wa zamani,huu uzi mzuri sana. Am fine,and you?
Kabadilikaje? Mbwembwe na show off zimepungua ama? Mbona watumia TECNO bado anatunyanyasa tena ndo kazidi? [emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hahaa siku hizi kama sio wewe wa zamani,huu uzi mzuri sana. Am fine,and you?