Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu ni ubuyu wa ndani ndani sasa. Kinasagwa ndo maana mama imebidi awe mbogo mpaka kutoa mkong'oto?
Tatizo wema akinogewa na penzi anataka kila mtu afahamu jambo ambalo linamuumiza sana mama ake. Just imagine hapo anapoishi anafuga mashoga(gays) na huyo diana.na hao ndio washauri wakubwa wa wema.
 
Tatizo wema akinogewa na penzi anataka kila mtu afahamu jambo ambalo linamuumiza sana mama ake. Just imagine hapo anapoishi anafuga mashoga(gays) na huyo diana.na hao ndio washauri wakubwa wa wema.
Sad. Ndo maana masikini pamoja na kuwa na potential kubwa amebakia tu kuwa mtu wa hivi hivi. Angeenda global kama akina Matata na wengineo angekuwa na maono. Ila ndo maisha yake hayo aliyoamua.
 
Me nilifurahia mchezo wa Wolves. Tumepigwa lakini ni mwanzo mzuri wa kutambua udhaifu wa team yetu pia. Wolves wanaishi spirit yao na ni wakali mno!!
Washabiki wa timu mnanifurahishaga sana. Mkishindwa huwa hamkosagi visingizio vya kujifariji. Eti mwanzo mzuri wa kutambua udhaifu. Mmefungwa bro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mama Wema Sepetu amshushia kipigo kikali Diana Kimaro na kuapa kumvunja mguu ! Kwa mujibu wa GPL Wema Sepetu siku kadhaa zilizopita alienda Arusha lakini alipewa onyo na mama yake mzazi kuwa ni marufuku kuongozana Na watu ambao mama Wema anaowaona wana tabia chafu. Katika Safari hiyo Mama Wema alimwambia Wema aongozane na Petitiman na mpiga picha wake anayeitwa Bestizzo ila katika kufuatilia mama Wema akagundua Wema kaongozana na Diana Kimaro na jamaa mwingine anayetajwa Kwa jina la Kenneth Sepetu ambaye Mama Wema anashangaa jamaa huyo kalipata wapi jina la Sepetu kwakuwa sio ndugu yao. Mama Wema hataki kabisa kuwaona kuwa karibu Na binti yake huyo asiyekaukiwa matukio akiamini Diana anamfundisha Wema tabia mbaya Licha ya Diana Kimaro kuwahi kupewa onyo mapema na Mama Wema aache urafiki na mwanae lakini akapuuza, waliporudi Arusha wote watatu walitinga nyumbani Kwa kina Wema ndipo mama Wema hasira zikampanda na kumshushia kipigo Diana huku Wema akitazama tu bila kufanya kitu kwakuwa alishakanywa muda aache urafiki na Diana. Mama Wema alipoulizwa na GPL kuhusu kumnyuka Diana alikiri Kwa kusema "Siyo kumpiga, nimempiga hasa na bado kuna siku nitamvunja mguu, nimeshamwambia sitaki ushoga na mwanangu" “Wakati anaondoka nilimwambia aambatane na Petitman na mpiga picha wake Bestizo. Nilipokuwa nawapokea nikashangaa kuwaona(kina Diana) nikasema sijui niende nikavae suruali kwanza ndipo nije niwafumue, basi nilijikuta nampiga teke Diana,” alisema mama Wema. “Mimi naomba kumwambia Diana siku ile nimempiga haikutosha, kuna siku nitamuumiza ndugu zake watamkuta Muhimbili, maana Wema hawezi kuongozana kila mahali na watu wasiojielewa,” alisema mama huyo kwa ukali. Kwa mujibu wa GPL Bestizzo amethibitisha kutokea Kwa sokomoko hilo. Hata hivyo, wema Sepetu anayedaiwa kufunzwa tabia mbaya kiumri anatajwa kumpita Diana Kwa miaka sita
Aseee, hivi huyo Diana anapigika katulia tu, basi aende hata Polisi
 
Kuna wakati inawaka na kujizima yenyewe hata mara sita non stop. Au inaweza kuanza kupiga skrinishoti tu bila sababu. TECNO ina vituko sometimes ila ukiizoea ni sawa tu...Can't wait until the end of the year [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni vile bado natafakari mateso yako, usijali Bro mwakani siyo mbali.
 
IMG-20190403-WA0018.jpeg
 
Sad. Ndo maana masikini pamoja na kuwa na potential kubwa amebakia tu kuwa mtu wa hivi hivi. Angeenda global kama akina Matata na wengineo angekuwa na maono. Ila ndo maisha yake hayo aliyoamua.
Umeona ee miaka nenda rudi yeye bado anajiona mtoto,akipata hela zinaishia kulisha hicho kikund chake. Hana hata biashara ya pipi
 
Back
Top Bottom