Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeona ee miaka nenda rudi yeye bado anajiona mtoto,akipata hela zinaishia kulisha hicho kikund chake. Hana hata biashara ya pipi
Brand yake ya lipstick iliishia wapi? Maisha ya ucelebrity haya shida tupu. Na miaka inaenda muda si muda atakuwa mtu mzima sasa. Wanaume wa kumhonga wakipungua maisha yatakuwa magumu...
 
FB_IMG_1443100352447.jpeg
 
Back
Top Bottom