Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ni vile bado natafakari mateso yako, usijali Bro mwakani siyo mbali.
Kuna watu wana umri na maumbo makubwa, lakini akili zao kama za sisimizi.Wema ana miaka mingapi mpaka achungwe na mamake kiasi hiki? Hopeless mama [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahaa Duuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimesikia ndio kwanza ana miaka 23 ya kwenye cheti kipya
Akienda atakosa "mke"," mume"Aseee, hivi huyo Diana anapigika katulia tu, basi aende hata Polisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Brand yake ya lipstick iliishia wapi? Maisha ya ucelebrity haya shida tupu. Na miaka inaenda muda si muda atakuwa mtu mzima sasa. Wanaume wa kumhonga wakipungua maisha yatakuwa magumu...Umeona ee miaka nenda rudi yeye bado anajiona mtoto,akipata hela zinaishia kulisha hicho kikund chake. Hana hata biashara ya pipi
Akienda atakosa "mke"," mume"
Wanasema hazikua zake alitumika tu kuzitangaza na kuuzaBrand yake ya lipstick iliishia wapi? Maisha ya ucelebrity haya shida tupu. Na miaka inaenda muda si muda atakuwa mtu mzima sasa. Wanaume wa kumhonga wakipungua maisha yatakuwa magumu...
Wapendwa kutoka kanda pendwa[emoji16][emoji16]Mautamu...ni kutoka katika ile lugha ya wapendwa wetu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1062166