Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Am fine ankoo nilikua bungeni hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba unielekeze namna ya kuandika maandishi ya blue hapa jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
Njia ya pili ni hapo unapoandika post angalia vizuri kuna alama mbali mbali kuna B,I,U kosha katone bonyeza hako ka tone zitatokea rangi mbalimbali chagua rangi utakayo kwa kuibonyeza kisha andika ujumbe uutakao utatokea kwa rangi husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…