Mkurugenzi wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika vya Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Mwele Malecela amesema Mdhibiti Mkuu na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Prof Mussa Assad, ni kati ya watu ambao histori itawakumbuka kama mtu wa heshima Tanzania.