Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Daah shukrani sana bro, tuko pamoja sana.Yeah! Homie I am still here take care of yourself homie and always remember that we love you and appreciate you so much.
👊🏾👊🏾👊🏾
Hiyo divai ikiwa tayari, 'testa' nipo hapa..Niwapongeze kituo cha Utafiti cha Naliendele, mnafanya kazi nzuri, nimeambiwa mnatengeneza utafiti wa kupata juisi kutoka kwenye korosho, kama ni divai ya korosho au ni gongo ambayo ni ‘special’ itengenezeni iliyopimwa kwamba percentage ya alcohol ni kiasi fulani, hata hizi pombe kali zinazokuja si ni gongo tu, lakini zimepimwa, sasa mtengeneze gongo ya aina yake ambayo ni nzuri, tunavidharau vitu vyetu’’ Rais Dkt. John Magufuli
Huyu Anita Raey yaelekea ni pasua kichwa..smh
Dugul moya[emoji23][emoji23][emoji23]